Tilde Biblia
Back to Reading

Wagalatia 2:14

Basi, nilipoona kuwa msimamo wao kuhusu ukweli wa Habari Njema haukuwa umenyooka, nikamwambia Kefa mbele ya watu wote: "Ingawa wewe ni Myahudi, unaishi kama watu wa mataifa mengine na si kama Myahudi! Unawezaje, basi kujaribu kuwalazimisha watu wa mataifa mengine kuishi kama Wayahudi?"

Want to go deeper?

Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.