Tilde Biblia
Back to Reading

Wagalatia 2:6

Lakini watu hawa wanaosemekana kuwa ni viongozi--kama kweli walikuwa hivyo au sivyo, kwangu si kitu, maana Mungu hahukumu kwa kuangalia mambo ya nje--watu hawa hawakuwa na kitu cha kuongeza katika Habari hii Njema kama niihubirivyo.

Want to go deeper?

Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.

Wagalatia 2:6 - Swahili NT (Swahili) | Tilde Biblia | Bibliche - La Biblia Interactiva