Back to Reading
Wagalatia 3:10
▼
“Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na Sheria, wako chini ya laana. Maana, Maandiko Matakatifu yasema: "Yeyote asiyeshika na kutimiza yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Sheria, yuko chini ya laana."”
Want to go deeper?
Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.