Tilde Biblia
Back to Reading

Ufunuo wa Yohana 1:17

Basi, nilipomwona tu, nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akasema, "Usiogope! Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.

Want to go deeper?

Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.