Tilde Biblia
Back to Reading

Ufunuo wa Yohana 13:4

Watu wote wakaliabudu lile joka kwa sababu lilimpa huyo mnyama uwezo wake. Wakamwabudu pia huyo mnyama wakisema, "Nani aliye kama huyu mnyama? Ni nani awezaye kupigana naye?"

Want to go deeper?

Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.