Tilde Biblia
Back to Reading

Ufunuo wa Yohana 19:11

Kisha nikaona mbingu zimefunguliwa; na huko alikuwako farasi mmoja mweupe, na mpanda farasi wake aliitwa "Mwaminifu" na "Kweli". Huyo huhukumu na kupigana kwa ajili ya haki.

Want to go deeper?

Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.

Ufunuo wa Yohana 19:11 - Swahili NT (Swahili) | Tilde Biblia | Bibliche - La Biblia Interactiva