Tilde Biblia
Back to Reading

Ufunuo wa Yohana 19:4

Na wale wazee ishirini na wanne, na vile viumbe hai vinne, wakajitupa chini, wakamwabudu Mungu aliyeketi juu ya kiti cha enzi wakisema, "Amina! Asifiwe Mungu!"

Want to go deeper?

Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.