Back to Reading
Ufunuo wa Yohana 8:12
▼
“Kisha malaika wa nne akapiga tarumbeta yake. Ndipo theluthi moja ya jua, ya mwezi na ya nyota ikapata pigo; hata mwangaza ukapoteza theluthi moja ya mng'ao wake. Theluthi moja ya mchana ikakosa mwanga, hali kadhalika na theluthi moja ya usiku.”
Want to go deeper?
Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.