Back to Reading
Ufunuo wa Yohana 8:5
▼
“Kisha malaika akakichukua hicho chetezo, akakijaza moto wa madhabahuni akakitupa duniani. Kukawa na ngurumo, sauti, umeme na tetemeko la ardhi.”
Want to go deeper?
Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.