Tilde Biblia
Back to Reading

Ufunuo wa Yohana 16:1

Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka Hekaluni ikiwaambia wale malaika saba, "Nendeni mkamwage mabakuli hayo saba ya ghadhabu ya Mungu duniani."

Want to go deeper?

Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.