Back to Reading
Ufunuo wa Yohana 16:2
▼
“Basi, malaika wa kwanza akaenda akamwaga bakuli lake juu ya nchi. Mara madonda mabaya na ya kuumiza sana yakawapata wote waliokuwa na alama ya yule mnyama, na wale walioiabudu sanamu yake.”
Want to go deeper?
Launch Tilde AI. Ask a specific question and we'll extract knowledge in real time.